HADITHI YA MAPANKI/ THE MAPANKI STORY

MAPANKI ni tamthilia fupi ambayo inahusu vinyozi wanne - Liko, Mandela, Sheka na Swaga, ambao wanafanya kazi ya kunyoa katika Mapanki Salon. Ingawa vinyozi hawa wanne wana mitazamo, falsafa, na malengo tofauti katika maisha, Mapanki Salon ni sehemu ambayo wanajikuta wako huru kushirikiana katika changamoto , matatizo, furaha, vikwaz katima maisha na mengineyo mengi.

______________________________

MAPANKI is a short drama series set up in a Mapanki Salon, where four barbers - Liko, Mandela, Sheka and Swaga, share their life stories. Though the four barbers have different perspectives, philophosies and ambitions in life, Mapanki Salon is a common ground where the four barbers are free to share their life challenges, frustrations, joy, struggles and more.

______________________________
0 comments:

Chapisha Maoni