MAPANKI S01E02 (Sheka, acha Ubahili..!!)

S1, Ep2
14th Feb. 2015 Sheka, acha ubahili..!!
Baada ya Binti yake kuonesha dariri za ugonjwa, Sheka anatafuta namna ya kukwepa kumpeleka Hospitali ili kuzuhia fedha kutumika huku akilalamikiwa na Mke wake kisha kuwekwa kitimoto na Vinyozi wenzake. Je, nini kiliendelea?, Ebu chungulia Mapanki S01E02.


Tarehe rasmi ya kuruka S01Ep2 ilikuwa ni tarehe 14 februari 2015, unaweza kutembelea link hizi ili kuangalia Episode zilizopita
0 comments:

Chapisha Maoni