Mapanki S01E03 (Mandela, unakuwa kama vile Bongo uhijui..!!)

S1, Ep3
21th Feb. 2015 Mandela, unakuwa kama vile Bongo uhijui..!!
Mandela anakutana na Joto la Ofisi ya Mtendani kwa kunyimwa huduma Baada ya kutokubaliana na Mtendaji katika suala la kumpa chochote ili ahudumiwe. Ndipo kwa hasira Mandela anawasili Saluni na kuyageuza maongezi ya Vinyozi wenzake, huku wote wakionesha Maumivu yao juu ya Nchi na Viongozi wake. Je, nini kilitoka mioyoni mwao?, Ebu chungulia Mapanki S01E03.
Tarehe rasmi ya kuruka S01Ep4 ilikuwa ni Tarehe 21 February 2015, unaweza kutembelea link hizi ili kuangalia Episode zilizopita


0 comments:

Chapisha Maoni