NYUMA YA PAZIA / BEHIND THE SCENES

MATUKIO NYUMA YA PAZIA KATIKA PICHA

_________________________________________________________________________________

Tarehe 13-14 March 2015
Matukia katika Picha ya Nyuma ya Pazia wakati wa kukusanya Episode mpya za Mapanki,
_________________________________________________________________________________
15 March 2015 Behind The Scene
Ni siku Nyingine Tena, Hizi ni Picha Za Matukio yaliyojiri siku ya Tarehe 15 Marchi 2015 katika ukusanyaji wa Matukio nyuma ya Pazia. Pia kwa Bahati nzuri Mapanki ilipata Heshima ya kujitambulisha kwa Diwani wa Kata ya Rau iliyopo Moshi. Mh.Kitoto. aliyekuwepo eneo hilo ili kushuhudia namna kazi inavyoendelea, ndipo Baada ya Utambulisho kutoka Kwa Director Msaidizi ndugu Ditram Ngonyani, Mh.Kitoto aliweza kuitembelea Tovuti ya Mapanki na kuonesha kufurahishwa na Mradi mzima namna unavyowapa Vijana Shughuri za Kufanya.
Angalia Matukio katika Picha hapa 
_________________________________________________________________________________

0 comments:

Chapisha Maoni