VYOMBO VYA HABARI / MEDIA COVERAGE

January 28, 2015

Sauti ya Amerika
Tarehe 7 Januari 2015, mbunifu wa tamthilia ya MAPANKI, Metty Nyang'oro, alipata bahati ya kufanya mahojiano na kituo cha redio cha Sauti ya Amerika. Mahojiano hayo yanatoa mwanga zaidi juu ya malengo ya tamthilia ya MAPANKI.

Voice of America
On January 28, 2015, Metty Nyang'oro, the creator of MAPANKI drama series, had an opportunity to conduct an interview with Voice of America radio station. The interview provides more insight into what the MAPANKI drama series is all about.

Sikiliza/Listen in:

https://clyp.it/a1kepv4t


0 comments:

Chapisha Maoni