WAHUSIKA / MAIN CHARACTERS


Wahusika Wajuu:

Liko – Ni mchapa kazi sana na ana ndoto za kufanya vitu vikubwa sana katika maisha. Kwa kifupi ni ambitious/dreamer, lakini ana papara sana katika maamuzi
Mandela – Amemaliza Chuo Kikuu, lakini kutokana na ugumu wa kupata kazi, ameamua kufanya kazi ya kunyoa. Anapenda ubishi na mambo ya siasa. Ana hasira sana na mfumo wa serikali.
Sheka – Ni kijana mtaratibu, mwenye busara. Hana papara na kati ya vinyozi wote, yeye ndiye aliyeoa. Lengo lake ni kuitunza familia yake. Ni mbahili na ni mwoga wa kufanya maamuzi magumu


Swaga – Ni mtanashati na anapenda starehe. Maongezi yake ni kuhusu starehe na mambo ya anasa kuliko kitu kingine.
______________________________

Main Characters:

Liko – Is a hard worker and has big dreams for his life. He is ambitious and a dreamer. However, he is not patient and tends to rush into making decisions.  

Mandela –  Is a university graduate, but he has found it hard to secure a job in his field. As such, he has decided to become a barber. He likes political discussions and is generally bitter at the  political system that he feels has disenfranchised him. 


Sheka –  Is generally a nice guy and very wise. He is married and very patient among the four barbers. His main goal is to make sure his family is well taken care of, but he tends to very stingy and timid in making difficult decisions. 

Swaga – Is very flamboyant, outgoing and loves to have a good time. His focus is mainly entertainment and girls more than anything else.

0 comments:

Chapisha Maoni